sw_tn/ezk/32/03.md

28 lines
798 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kunena na Farao na kumfananisha na jitu la kutisha liishilo katika maji.
# Bwana Yahwe asema hivi
Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:5.
# Basi nitautandaza wavu wangu juu yako katika kusanyiko la watu wengi
"Basi nitawakusanya watu wengi na kutupa wavu wangu juu yako."
# watawainua juu katika wavu wangu
"kutumia wavu wangu, watu watakuvuta kutokakwenye maji"
# Nitakuacha katika nchi
"Nitakuacha bila msaada katika nchi." Jitu la kutisha lililokuwa linatisha wakati lilipokuwa ndani ya maji haliwezi kufanya chochote wakati likiachwa juu ya nchi kavu.
# ndege wote wa angani
"ndege wote warukao katika anga"
# njaa ya wanyama wote waishio juu ya nchi watashibishwa na wewe
"nitawaacha wanyama wote wa nchi wataula mwili wako hadi njaa iwaishe"