sw_tn/ezk/31/17.md

40 lines
916 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
fumbo la Yahwe kuhusu mkangazi linaendelea.
# walishuka chini pamoja nayo hata Sheoli
"Hiyo miti ya Lebanoni pia imekufa na kushuka chini hata Sheoli pamoja na mkangazi"
# walikuwa wameuawa kwa upanga
"ambao maadui waliuawa kwa upanga" au "waliokufa katika mapigano"
# Hili lilikuwa jeshi lake imara
"Hii miti ya Lebanoni ilikuwa jeshi lake imara." Neno "jeshi imara" maana yake "nguvu."
# 8Umefanana na nani hivi katika utukufu na ukuu kati ya mti wa Edeni?
Mungu anamuuliza Farao jili swali kumwonyesha kwamba fumbo linatumika kwake na nchi yake.
# Kwa kuwa utashushwa chini
"Kwa kuwa nitakusha chini"
# pamoja na miti ya Edeni
"kama miti mingine ya Edeni"
# hata sehemu za mwisho za nchi
"hata sehemu ya chini katika aridhi"
# miongoni mwa wasiotahiriwa
"utakuwa wapi na watu ambao hawajatahiriwa"
# hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo
Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.