sw_tn/ezk/31/17.md

916 B

Maelezo ya Jumla:

fumbo la Yahwe kuhusu mkangazi linaendelea.

walishuka chini pamoja nayo hata Sheoli

"Hiyo miti ya Lebanoni pia imekufa na kushuka chini hata Sheoli pamoja na mkangazi"

walikuwa wameuawa kwa upanga

"ambao maadui waliuawa kwa upanga" au "waliokufa katika mapigano"

Hili lilikuwa jeshi lake imara

"Hii miti ya Lebanoni ilikuwa jeshi lake imara." Neno "jeshi imara" maana yake "nguvu."

8Umefanana na nani hivi katika utukufu na ukuu kati ya mti wa Edeni?

Mungu anamuuliza Farao jili swali kumwonyesha kwamba fumbo linatumika kwake na nchi yake.

Kwa kuwa utashushwa chini

"Kwa kuwa nitakusha chini"

pamoja na miti ya Edeni

"kama miti mingine ya Edeni"

hata sehemu za mwisho za nchi

"hata sehemu ya chini katika aridhi"

miongoni mwa wasiotahiriwa

"utakuwa wapi na watu ambao hawajatahiriwa"

hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo

Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.