sw_tn/ezk/31/10.md

16 lines
416 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Fumbo la Yahwe kuhusu mkangazi linaendelea
# weka urefu wake
Hili fungu linaendelea kumrejea mfalme wa Ashuru, ambaye aliwakilishwa na mkangaze.
# Nimeuweka kwenye mikono ya yeye mwenye uweza wa mataifa
"nimemuweka kwenye nguvu ya taifa imara zaidi." Neno "mkono" linawakilisha utawala.
# Nimeufukuza
"nimeupeleka mkangazi mbali kutoka nchi ya mkangazi kwa sababu mkangazi ulikuwa dhaifu"