sw_tn/ezk/31/10.md

416 B

Maelezo ya Jumla:

Fumbo la Yahwe kuhusu mkangazi linaendelea

weka urefu wake

Hili fungu linaendelea kumrejea mfalme wa Ashuru, ambaye aliwakilishwa na mkangaze.

Nimeuweka kwenye mikono ya yeye mwenye uweza wa mataifa

"nimemuweka kwenye nguvu ya taifa imara zaidi." Neno "mkono" linawakilisha utawala.

Nimeufukuza

"nimeupeleka mkangazi mbali kutoka nchi ya mkangazi kwa sababu mkangazi ulikuwa dhaifu"