# Maelezo ya Jumla: Fumbo la Yahwe kuhusu mkangazi linaendelea # weka urefu wake Hili fungu linaendelea kumrejea mfalme wa Ashuru, ambaye aliwakilishwa na mkangaze. # Nimeuweka kwenye mikono ya yeye mwenye uweza wa mataifa "nimemuweka kwenye nguvu ya taifa imara zaidi." Neno "mkono" linawakilisha utawala. # Nimeufukuza "nimeupeleka mkangazi mbali kutoka nchi ya mkangazi kwa sababu mkangazi ulikuwa dhaifu"