sw_tn/ezk/30/22.md

32 lines
704 B
Markdown

# Bwana Yahwe asema hivi
tazama tafsiri yake katika sura ya 3:10.
# wote yule aliye hodari na yule aliyevunjika
"wote mkono ambao ni mzima na mkono ambao umevunjika tayari"
# nitaitawanya Misri miongoni mwa mataifa na kuwatawanya katika nchi mbali mbali
Tazama tafsiri yake katika sura ya 20:23.
# nchi
"nchi"
# Nitaunyoosha mikono kwa mfalme wa Babeli
"nitaifanya mikono ya mfalme wa Babeli kuwa imara"
# Atagugumia mbele ya mfalme wa Babeli
Wakati mfalme wa Babeli atakapokuja kuiteka Misri, Farao atagugumia.
# gugumia
"Gugumia ni sauti kubwa ambayo watu hufanya wakati wanapokuwa na maumivu au kufa.
# kwa mgumio wa mtu anayekufa
"kama mtu anayekufa agumiavyo" au "kama mtu anayekufa"