sw_tn/ezk/30/22.md

704 B

Bwana Yahwe asema hivi

tazama tafsiri yake katika sura ya 3:10.

wote yule aliye hodari na yule aliyevunjika

"wote mkono ambao ni mzima na mkono ambao umevunjika tayari"

nitaitawanya Misri miongoni mwa mataifa na kuwatawanya katika nchi mbali mbali

Tazama tafsiri yake katika sura ya 20:23.

nchi

"nchi"

Nitaunyoosha mikono kwa mfalme wa Babeli

"nitaifanya mikono ya mfalme wa Babeli kuwa imara"

Atagugumia mbele ya mfalme wa Babeli

Wakati mfalme wa Babeli atakapokuja kuiteka Misri, Farao atagugumia.

gugumia

"Gugumia ni sauti kubwa ambayo watu hufanya wakati wanapokuwa na maumivu au kufa.

kwa mgumio wa mtu anayekufa

"kama mtu anayekufa agumiavyo" au "kama mtu anayekufa"