# Bwana Yahwe asema hivi tazama tafsiri yake katika sura ya 3:10. # wote yule aliye hodari na yule aliyevunjika "wote mkono ambao ni mzima na mkono ambao umevunjika tayari" # nitaitawanya Misri miongoni mwa mataifa na kuwatawanya katika nchi mbali mbali Tazama tafsiri yake katika sura ya 20:23. # nchi "nchi" # Nitaunyoosha mikono kwa mfalme wa Babeli "nitaifanya mikono ya mfalme wa Babeli kuwa imara" # Atagugumia mbele ya mfalme wa Babeli Wakati mfalme wa Babeli atakapokuja kuiteka Misri, Farao atagugumia. # gugumia "Gugumia ni sauti kubwa ambayo watu hufanya wakati wanapokuwa na maumivu au kufa. # kwa mgumio wa mtu anayekufa "kama mtu anayekufa agumiavyo" au "kama mtu anayekufa"