sw_tn/ezk/30/15.md

36 lines
636 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Haya ni maneno ya Yahwe kuhusu Misri.
# Kwa kuwa nitamwaga ghadhabu yangu juu Sini
"Kwa kuwa nitatenda hasira yangu juu ya Sini" au "Kwa sababu nina hsira sana, nitaiadhibu Sini mmoja mmoja"
# Sini
Huu ulikuwa mji wa muhimu kaskazini mwa Misri.
# kuwakatilia mbali kundi la Tebesi
"kuua hesabu kubwa ya watu katika Tebesi"
# Tebesi
Tazama tafsiri yake katika sura ya 30:13.
# Kisha nitaweka moto katika Misri
"nitaichoma Misri kwa moto"
# Tebesi itavunjwa
"Tebesi itaangamizwa."
# Kisha niweka moto katika Misri
"nitaichoma Misri kwa moto"
# itakuwa katika dhiki kuu
"itakuwa katika maumivu makali"