sw_tn/ezk/30/15.md

636 B

Maelezo ya Jumla:

Haya ni maneno ya Yahwe kuhusu Misri.

Kwa kuwa nitamwaga ghadhabu yangu juu Sini

"Kwa kuwa nitatenda hasira yangu juu ya Sini" au "Kwa sababu nina hsira sana, nitaiadhibu Sini mmoja mmoja"

Sini

Huu ulikuwa mji wa muhimu kaskazini mwa Misri.

kuwakatilia mbali kundi la Tebesi

"kuua hesabu kubwa ya watu katika Tebesi"

Tebesi

Tazama tafsiri yake katika sura ya 30:13.

Kisha nitaweka moto katika Misri

"nitaichoma Misri kwa moto"

Tebesi itavunjwa

"Tebesi itaangamizwa."

Kisha niweka moto katika Misri

"nitaichoma Misri kwa moto"

itakuwa katika dhiki kuu

"itakuwa katika maumivu makali"