sw_tn/ezk/30/06.md

844 B

Yahwe asema hivi

"Hivi ndivyo Yahwe asemavyo." Hii sentensi inatambulisha ambacho Yahwe atakisema.

Basi wale

"Katika njia hii" au "Katika namna hii, mataifa"

anayeisaidia Misri

"anayeisaidia misri"

wataanguka

"watakufa" au "wataharibiwa"

kiburi cha nguvu yake kitashushwa

"nguvu ya Misri, ambayo inaifanya ijiinue, itaondoshwa"

Kutoka Migdoli hata Sewene

Ezekieli ameipa miji majina upande wa mipaka ya Misri ili kuirejea Misri yote.

maaskari wao watanguka kwa upanga

Maaskari wa Misri watakufa kwa uapnga."

Wataogofya kati ya nchi zilizotupwa

"Maaskari wa washirika wa Misri wataogopwa wakati watakapoachwa wamezungukwa bila kitu lakini nchi tupu"

kati ya

"miongoni" au "kuzungukwa na"

miji yao itakuwa miongoni mwa miji yote iliyoangamizwa

"miji yao itazungukwa na miji iliyoharibiwa karibu na mataifa"