sw_tn/ezk/30/06.md

40 lines
844 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yahwe asema hivi
"Hivi ndivyo Yahwe asemavyo." Hii sentensi inatambulisha ambacho Yahwe atakisema.
# Basi wale
"Katika njia hii" au "Katika namna hii, mataifa"
# anayeisaidia Misri
"anayeisaidia misri"
# wataanguka
"watakufa" au "wataharibiwa"
# kiburi cha nguvu yake kitashushwa
"nguvu ya Misri, ambayo inaifanya ijiinue, itaondoshwa"
# Kutoka Migdoli hata Sewene
Ezekieli ameipa miji majina upande wa mipaka ya Misri ili kuirejea Misri yote.
# maaskari wao watanguka kwa upanga
Maaskari wa Misri watakufa kwa uapnga."
# Wataogofya kati ya nchi zilizotupwa
"Maaskari wa washirika wa Misri wataogopwa wakati watakapoachwa wamezungukwa bila kitu lakini nchi tupu"
# kati ya
"miongoni" au "kuzungukwa na"
# miji yao itakuwa miongoni mwa miji yote iliyoangamizwa
"miji yao itazungukwa na miji iliyoharibiwa karibu na mataifa"