# Yahwe asema hivi "Hivi ndivyo Yahwe asemavyo." Hii sentensi inatambulisha ambacho Yahwe atakisema. # Basi wale "Katika njia hii" au "Katika namna hii, mataifa" # anayeisaidia Misri "anayeisaidia misri" # wataanguka "watakufa" au "wataharibiwa" # kiburi cha nguvu yake kitashushwa "nguvu ya Misri, ambayo inaifanya ijiinue, itaondoshwa" # Kutoka Migdoli hata Sewene Ezekieli ameipa miji majina upande wa mipaka ya Misri ili kuirejea Misri yote. # maaskari wao watanguka kwa upanga Maaskari wa Misri watakufa kwa uapnga." # Wataogofya kati ya nchi zilizotupwa "Maaskari wa washirika wa Misri wataogopwa wakati watakapoachwa wamezungukwa bila kitu lakini nchi tupu" # kati ya "miongoni" au "kuzungukwa na" # miji yao itakuwa miongoni mwa miji yote iliyoangamizwa "miji yao itazungukwa na miji iliyoharibiwa karibu na mataifa"