sw_tn/ezk/30/04.md

1.0 KiB

Maelezo ya Jumla:

Haya ni maneno ya Yahwe kuhusu Misri

Kisha upanga utakuja juu ya Misri

Neno "upanga" hapa linarejea kwa vita au shambulizi. "Kutakuwa na vita juu ya Misri"

kutakuwa na maumivu makali katika Kushi

"Kushi itakuwa na huzuni sana" au "watu wa Kushi watakuwa na huzuni kubwa sana"

wakati wauaji wa watu watakapoanguka katika Misri

"wakati watu wa Misri watakapouawa" au "wakati watu wengi katika Misri watakapokufa katika vita."

wakati watakapochukua utajiri wake

"Washambuliaji watauchukua utajiri wa misri"

wakati msingi wake utakapoharibiwa

"Washambuliaji wataiharibu hata misingi ya majengo katika Misri"

Libya

Libya ni nchi ya magharibi mwa Misri.

Ludi

Hii ni kama inaurejea ufalme wa Ludi ambayo kwa sasa ni Uturuki. Ezekieli anaiita mkoa wa Ludi.

watu wa nyumba ya agano

"Wayahudi wanaoishi Misri"

wataanguka kwa upanga

"watakufa kwa mapambano" au "watakufa kwa upanga." Hii haimaanishi kwamba kila mtu atakufa, lakini kwamba watu wengi kutoka hizi nchi zote watakufa.