sw_tn/ezk/29/08.md

20 lines
382 B
Markdown

# Maelezo ya jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia ezekieli ujumbe wake kwa Faro.
# Tazama!
"Ona!" au "Sikia!"
# upanga juu yako
Neno "wewe" ni imoja wa mwanamke na inarejea kwa taifa la Misri.
# juu yako
Neno "wewe" umoja wa mwanamume na inamrejea Farao.
# kutoka Migdoli hata Sewene
"Katika Misri yote" au "kutoka mpaka wa kaskazini mwa Misri hata mpaka wa kusini mwa Misri."