sw_tn/ezk/29/08.md

382 B

Maelezo ya jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia ezekieli ujumbe wake kwa Faro.

Tazama!

"Ona!" au "Sikia!"

upanga juu yako

Neno "wewe" ni imoja wa mwanamke na inarejea kwa taifa la Misri.

juu yako

Neno "wewe" umoja wa mwanamume na inamrejea Farao.

kutoka Migdoli hata Sewene

"Katika Misri yote" au "kutoka mpaka wa kaskazini mwa Misri hata mpaka wa kusini mwa Misri."