# Maelezo ya jumla: Yahwe anaendelea kumpatia ezekieli ujumbe wake kwa Faro. # Tazama! "Ona!" au "Sikia!" # upanga juu yako Neno "wewe" ni imoja wa mwanamke na inarejea kwa taifa la Misri. # juu yako Neno "wewe" umoja wa mwanamume na inamrejea Farao. # kutoka Migdoli hata Sewene "Katika Misri yote" au "kutoka mpaka wa kaskazini mwa Misri hata mpaka wa kusini mwa Misri."