sw_tn/ezk/25/12.md

12 lines
326 B
Markdown

# Nitaunyoosha mkono wangu juu ya Edomu
Tazama tafsiri yake katika 25:6.
# kutoka Temani hata Dedani
Haya ni majiji mawili mkabala na Edomu. Hii inamaanisha kwamba Mungu ataiangamiza Edomu yote.
# Wataanguka kwa upanga
Neno "anguka" inawakilisha kuuawa na "upanga" inarejea kwa vita. "Maadui zao watawaua kwa upanga wao"