# Nitaunyoosha mkono wangu juu ya Edomu Tazama tafsiri yake katika 25:6. # kutoka Temani hata Dedani Haya ni majiji mawili mkabala na Edomu. Hii inamaanisha kwamba Mungu ataiangamiza Edomu yote. # Wataanguka kwa upanga Neno "anguka" inawakilisha kuuawa na "upanga" inarejea kwa vita. "Maadui zao watawaua kwa upanga wao"