sw_tn/ezk/25/06.md

633 B

pamoja na dharau ndani yako dhidi ya nchi ya Israeli

"pamoja na chuki yote uliyoijaza mbele ya watu wanaoishi katika Israeli"

tazama!

"tazama!" au "sikiliza!"

nitakunyooshea mkono wangu

"nitakupiga kwa mkono wangu wenye nguvu" au nitakuadhibu"

na kukutoa kama mateka kwa mataifa

"na nitayafanya mataifa kuja na kuchukua kila kitu mbali nanyi"

nitakukatilia mbali kutoka watu ... kukufanya adhabu miongoni mwa mataifa.

Haya maneno kimsingi yanamaanisha jambo moja na kusisitiza Yahwe atawaangamiza kabisa watu wa Amoni ili kwamba wasiwe taifa tena.

utajua yakwamba mimi ni Yahwe

Tazama tafsiri yake katika 6:6.