sw_tn/ezk/25/06.md

24 lines
633 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# pamoja na dharau ndani yako dhidi ya nchi ya Israeli
"pamoja na chuki yote uliyoijaza mbele ya watu wanaoishi katika Israeli"
# tazama!
"tazama!" au "sikiliza!"
# nitakunyooshea mkono wangu
"nitakupiga kwa mkono wangu wenye nguvu" au nitakuadhibu"
# na kukutoa kama mateka kwa mataifa
"na nitayafanya mataifa kuja na kuchukua kila kitu mbali nanyi"
# nitakukatilia mbali kutoka watu ... kukufanya adhabu miongoni mwa mataifa.
Haya maneno kimsingi yanamaanisha jambo moja na kusisitiza Yahwe atawaangamiza kabisa watu wa Amoni ili kwamba wasiwe taifa tena.
# utajua yakwamba mimi ni Yahwe
Tazama tafsiri yake katika 6:6.