sw_tn/ezk/24/22.md

342 B

utayeyuka

Hapa kupotea na kufa inazungumziwa kama kuyeyuka.

katika uovu wako

Hii inaonyesha kwamba Mungu hatasamehe dhambi za hawa watu. Ingawa, baadhi ya matoleo ya kisasa yanatafsiri "kwa sababu ya dhambi zako"

gugumia

sauti mtu afanyayo anapohitaji msaada, lakini maumivu au huzuni inakuwa kali sana kwamba hawawezi kuzungumza.