# utayeyuka Hapa kupotea na kufa inazungumziwa kama kuyeyuka. # katika uovu wako Hii inaonyesha kwamba Mungu hatasamehe dhambi za hawa watu. Ingawa, baadhi ya matoleo ya kisasa yanatafsiri "kwa sababu ya dhambi zako" # gugumia sauti mtu afanyayo anapohitaji msaada, lakini maumivu au huzuni inakuwa kali sana kwamba hawawezi kuzungumza.