sw_tn/ezk/23/46.md

12 lines
262 B
Markdown

# inua kundi la watu
Hili neno "inua" linarejea kuongeza hesabu ya watu. "kusanya kundi kubwa la watu"
# kuwatoa
Yahwe anatoa wajibu kuwaangalia na kuwaruhusu kutaabika kwa uchaguzi wao.
# kuwa kitisho na kuteka nyara
"kwa kundi kutisha na kuwateka nyara."