sw_tn/ezk/23/46.md

262 B

inua kundi la watu

Hili neno "inua" linarejea kuongeza hesabu ya watu. "kusanya kundi kubwa la watu"

kuwatoa

Yahwe anatoa wajibu kuwaangalia na kuwaruhusu kutaabika kwa uchaguzi wao.

kuwa kitisho na kuteka nyara

"kwa kundi kutisha na kuwateka nyara."