# inua kundi la watu Hili neno "inua" linarejea kuongeza hesabu ya watu. "kusanya kundi kubwa la watu" # kuwatoa Yahwe anatoa wajibu kuwaangalia na kuwaruhusu kutaabika kwa uchaguzi wao. # kuwa kitisho na kuteka nyara "kwa kundi kutisha na kuwateka nyara."