sw_tn/ezk/23/36.md

8 lines
204 B
Markdown

# Mwanadamu, Je! utamhukumu Ohola na Oholiba?
"Mwanadamu, utamuhumu Ohola na Oholiba!"
# kuna damu juu ya vichwa vyao
Damu ni matokea ya kuwaua watu, na kwa hiyo inawakilisha mauaji. "Wamewaua watu."