sw_tn/ezk/23/36.md

204 B

Mwanadamu, Je! utamhukumu Ohola na Oholiba?

"Mwanadamu, utamuhumu Ohola na Oholiba!"

kuna damu juu ya vichwa vyao

Damu ni matokea ya kuwaua watu, na kwa hiyo inawakilisha mauaji. "Wamewaua watu."