# Mwanadamu, Je! utamhukumu Ohola na Oholiba? "Mwanadamu, utamuhumu Ohola na Oholiba!" # kuna damu juu ya vichwa vyao Damu ni matokea ya kuwaua watu, na kwa hiyo inawakilisha mauaji. "Wamewaua watu."