sw_tn/ezk/23/32.md

16 lines
467 B
Markdown

# Utakinyea kikombe cha dada yako
Kunywa kutoka kikombe kimoja ni njia nyingine ya kusema watazoea jambo moja. "Utazoea hukumu ileile kama dada yako"
# ambacho ni kirefu na kikubwa
Hii inarejea kwa kiasi cha hukumu kilichopokelewa. "hiyo ni kali"
# dhihaka ... kitu kwa ajili ya dhihaka
maneno haya yoye yanarejea kwa mtu anayechekwa na
# kikombe kimejaa kiasi kikubwa
Hii sentensi haisemi nini kilichopo katika kakombe kwa sababu imeeleweka kwa kusoma 23:30.