# Utakinyea kikombe cha dada yako Kunywa kutoka kikombe kimoja ni njia nyingine ya kusema watazoea jambo moja. "Utazoea hukumu ileile kama dada yako" # ambacho ni kirefu na kikubwa Hii inarejea kwa kiasi cha hukumu kilichopokelewa. "hiyo ni kali" # dhihaka ... kitu kwa ajili ya dhihaka maneno haya yoye yanarejea kwa mtu anayechekwa na # kikombe kimejaa kiasi kikubwa Hii sentensi haisemi nini kilichopo katika kakombe kwa sababu imeeleweka kwa kusoma 23:30.