sw_tn/ezk/23/32.md

467 B

Utakinyea kikombe cha dada yako

Kunywa kutoka kikombe kimoja ni njia nyingine ya kusema watazoea jambo moja. "Utazoea hukumu ileile kama dada yako"

ambacho ni kirefu na kikubwa

Hii inarejea kwa kiasi cha hukumu kilichopokelewa. "hiyo ni kali"

dhihaka ... kitu kwa ajili ya dhihaka

maneno haya yoye yanarejea kwa mtu anayechekwa na

kikombe kimejaa kiasi kikubwa

Hii sentensi haisemi nini kilichopo katika kakombe kwa sababu imeeleweka kwa kusoma 23:30.