sw_tn/ezk/23/30.md

8 lines
275 B
Markdown

# umetenda kama kahaba, tamaa za mataifa
Oholiba anatenda kama kahaba pamoja na mataifa kwa sababu wanaume aliolala nao ni alama ya utajiri na nguvu ya haya mataifa.
# nitakiweka kikombe chake
Neno "kikombe" linajea kwa hukumu ya Oholiba. Inawakilisha kitu alichokipokea.