sw_tn/ezk/23/28.md

12 lines
312 B
Markdown

# Tazama
Neno "tazama" hapa linamalizia kusisitiza kile kinachofuata.
# uchi na kuweka wazi
Haya maneno mawili yanamaanisha jambo moja na kusisitiza kwamba atakuwa uchi kabisa.
# tabia yako ya aibu na uzinzi wako
Haya maneno yote yanaelezea ukahaba wake na kusisitiza jinsi tabia yake hii ilivyokuwa mbaya.