# Tazama Neno "tazama" hapa linamalizia kusisitiza kile kinachofuata. # uchi na kuweka wazi Haya maneno mawili yanamaanisha jambo moja na kusisitiza kwamba atakuwa uchi kabisa. # tabia yako ya aibu na uzinzi wako Haya maneno yote yanaelezea ukahaba wake na kusisitiza jinsi tabia yake hii ilivyokuwa mbaya.