sw_tn/ezk/23/28.md

312 B

Tazama

Neno "tazama" hapa linamalizia kusisitiza kile kinachofuata.

uchi na kuweka wazi

Haya maneno mawili yanamaanisha jambo moja na kusisitiza kwamba atakuwa uchi kabisa.

tabia yako ya aibu na uzinzi wako

Haya maneno yote yanaelezea ukahaba wake na kusisitiza jinsi tabia yake hii ilivyokuwa mbaya.