sw_tn/ezk/23/08.md

12 lines
396 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumweleza Ezekieli kuhusu uzinifu wa mke wake Ohola
# wakati walipoanza kummwagia tabia ya uzinzi
Neno "mwaga" linatumia wazo la maji kumwagwa kueleza kitu kikitokea katika mlima mkubwa.
# kwenye mkono wa mpenzi wake, kwenye mkono wa Waashuru
Neno "mkono" linarejea kwa nguvu au mamlaka. Neno la pili linaeleza kwamba "wapenzi wake" walikuwa "Waashuru."