sw_tn/ezk/23/08.md

396 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumweleza Ezekieli kuhusu uzinifu wa mke wake Ohola

wakati walipoanza kummwagia tabia ya uzinzi

Neno "mwaga" linatumia wazo la maji kumwagwa kueleza kitu kikitokea katika mlima mkubwa.

kwenye mkono wa mpenzi wake, kwenye mkono wa Waashuru

Neno "mkono" linarejea kwa nguvu au mamlaka. Neno la pili linaeleza kwamba "wapenzi wake" walikuwa "Waashuru."