sw_tn/ezk/21/15.md

539 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa watu wa Yuerusalemu na wa nchi ya Israeli.

kuongeza kuanguka kwao

Hapa "kuanguka" inarejea kwa watu kuuawa katika vita. "kuwaua watu miongoni mwao"

malango yao

Neno "yao" inarejea kwa watu wa Yerusalemu.

Wewe, upanga! Nyooka upande wa kuume! ...Nenda popote ulipoelekeza uso wako

Ipo kama Yahwe alikuwa akinena na upanga.

popote ulipoelekeza uso wako

"Popote nilipoelekeza ubapa wako."

uso wako

Hapa "uso" inasimama kwa ajili ya makali ya upanga.