# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa watu wa Yuerusalemu na wa nchi ya Israeli. # kuongeza kuanguka kwao Hapa "kuanguka" inarejea kwa watu kuuawa katika vita. "kuwaua watu miongoni mwao" # malango yao Neno "yao" inarejea kwa watu wa Yerusalemu. # Wewe, upanga! Nyooka upande wa kuume! ...Nenda popote ulipoelekeza uso wako Ipo kama Yahwe alikuwa akinena na upanga. # popote ulipoelekeza uso wako "Popote nilipoelekeza ubapa wako." # uso wako Hapa "uso" inasimama kwa ajili ya makali ya upanga.