sw_tn/ezk/21/15.md

24 lines
539 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa watu wa Yuerusalemu na wa nchi ya Israeli.
# kuongeza kuanguka kwao
Hapa "kuanguka" inarejea kwa watu kuuawa katika vita. "kuwaua watu miongoni mwao"
# malango yao
Neno "yao" inarejea kwa watu wa Yerusalemu.
# Wewe, upanga! Nyooka upande wa kuume! ...Nenda popote ulipoelekeza uso wako
Ipo kama Yahwe alikuwa akinena na upanga.
# popote ulipoelekeza uso wako
"Popote nilipoelekeza ubapa wako."
# uso wako
Hapa "uso" inasimama kwa ajili ya makali ya upanga.