sw_tn/ezk/21/04.md

36 lines
1.0 KiB
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe kwa nchi ya Israeli.
# katilia mbali
Hii inamaanisha kuua "ua"
# mwenye haki ... mwovu
Hii inarejea kwa watu wenye haki na waovu. "wale ambao ni wenye haki ... wale walio waovu" au "watu wenye haki ... watu waovu"
# kutoka kwako
"miongoni mwako"
# upanga wangu utatoka kutoka kwenye ala yake dhidi ya
Hii inamzungumzia Yahwe akifanya hawa watu kufa kana kwamba amewau hasa kwa upanga wake mwenyewe.
# wenye miili wote
Hapa "mwili" ni mfani kwa "watu" "watu wote"
# kutoka kusini kwenda kaskazini
Hii inarejea kwa eneo la kaskazini, na kusini, na maeneo yote ya katikati. "katika kila uelekeo" "kila mahali"
# kwamba mimi, Yahwe, nimeutoa upanga wangu kutoka kwenye ala yake
Hii inamwongelea Yahwe akisababisha watu kufa kana kwamba amewaua kweli kwa upanga wake.
# Hautarudi tena
Hii inamzungumzia Yahwe haurudishi upanga wake kutoka kuwashambulia watu kana kwamba upanga ulikuwa mtu ambaye hakuwa ameshikilia upanga wenyewe kuurudisha kutoka kushambulia.