sw_tn/ezk/21/04.md

1.0 KiB

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe kwa nchi ya Israeli.

katilia mbali

Hii inamaanisha kuua "ua"

mwenye haki ... mwovu

Hii inarejea kwa watu wenye haki na waovu. "wale ambao ni wenye haki ... wale walio waovu" au "watu wenye haki ... watu waovu"

kutoka kwako

"miongoni mwako"

upanga wangu utatoka kutoka kwenye ala yake dhidi ya

Hii inamzungumzia Yahwe akifanya hawa watu kufa kana kwamba amewau hasa kwa upanga wake mwenyewe.

wenye miili wote

Hapa "mwili" ni mfani kwa "watu" "watu wote"

kutoka kusini kwenda kaskazini

Hii inarejea kwa eneo la kaskazini, na kusini, na maeneo yote ya katikati. "katika kila uelekeo" "kila mahali"

kwamba mimi, Yahwe, nimeutoa upanga wangu kutoka kwenye ala yake

Hii inamwongelea Yahwe akisababisha watu kufa kana kwamba amewaua kweli kwa upanga wake.

Hautarudi tena

Hii inamzungumzia Yahwe haurudishi upanga wake kutoka kuwashambulia watu kana kwamba upanga ulikuwa mtu ambaye hakuwa ameshikilia upanga wenyewe kuurudisha kutoka kushambulia.