sw_tn/ezk/21/01.md

858 B

Mwana wa adamu

"Mwana wa mwanadamu" Mungu anamuita Ezekieli hivi kusisitiza kwamba Ezekieli ni mwanadamu tu. Mungu ana uwezo na huishi milele, lakini watu hapana.

neno la Yahwe likanijia

"Yahwe akanipatia ujumbe."

weka uso wako kulekea Yerusalemu

Hii ni lahaja. Hii inamaanisha kwamba Yahwe anatupa hukumu juu ya Yerusalemu na kunena hukumu juu yake.

Nitautoa upanga wangu kutoka kwenye ala yake na kuwakatilia mbali wote yaani mtu mwenye haki na mtu mwovu kutoka kwako

Hii inazungumzia Yahwe akiwafanya hawa watu kufa kana kwamba amewaua kweli kwa upanga wake mwenyewe.

mtu mwenye haki na mtu mwovu kutoka kwako!

watu wenye haki na watu waovu." Hii inarejea kwa watu wengi, sio mtu mmoja menye haki na mtu mmoja mwovu.

ala

kitu kinachoshikilia na kufunika upanga wakati unapokuwa hautumiki

katilia mbali

Hii inamaanisha kuua "ua"