sw_tn/ezk/21/01.md

28 lines
858 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mwana wa adamu
"Mwana wa mwanadamu" Mungu anamuita Ezekieli hivi kusisitiza kwamba Ezekieli ni mwanadamu tu. Mungu ana uwezo na huishi milele, lakini watu hapana.
# neno la Yahwe likanijia
"Yahwe akanipatia ujumbe."
# weka uso wako kulekea Yerusalemu
Hii ni lahaja. Hii inamaanisha kwamba Yahwe anatupa hukumu juu ya Yerusalemu na kunena hukumu juu yake.
# Nitautoa upanga wangu kutoka kwenye ala yake na kuwakatilia mbali wote yaani mtu mwenye haki na mtu mwovu kutoka kwako
Hii inazungumzia Yahwe akiwafanya hawa watu kufa kana kwamba amewaua kweli kwa upanga wake mwenyewe.
# mtu mwenye haki na mtu mwovu kutoka kwako!
watu wenye haki na watu waovu." Hii inarejea kwa watu wengi, sio mtu mmoja menye haki na mtu mmoja mwovu.
# ala
kitu kinachoshikilia na kufunika upanga wakati unapokuwa hautumiki
# katilia mbali
Hii inamaanisha kuua "ua"