sw_tn/ezk/20/42.md

301 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpataia Ezekieli ujumbe wake kwenye nyumba ya Israeli.

inua mkono wangu

Hili neno linamaanisha "nimeapa" au "nimeahidi."

mtajua kuwa mimi ndimi Yahwe

Tazama tafsiri yake katika 6:6.

hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo.

Tazama tafsiri yake katika 5:11.