# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kumpataia Ezekieli ujumbe wake kwenye nyumba ya Israeli. # inua mkono wangu Hili neno linamaanisha "nimeapa" au "nimeahidi." # mtajua kuwa mimi ndimi Yahwe Tazama tafsiri yake katika 6:6. # hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo. Tazama tafsiri yake katika 5:11.