sw_tn/ezk/20/42.md

16 lines
301 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpataia Ezekieli ujumbe wake kwenye nyumba ya Israeli.
# inua mkono wangu
Hili neno linamaanisha "nimeapa" au "nimeahidi."
# mtajua kuwa mimi ndimi Yahwe
Tazama tafsiri yake katika 6:6.
# hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo.
Tazama tafsiri yake katika 5:11.