sw_tn/ezk/20/30.md

295 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa njumba ya Israeli.

weka wana wako kwenye moto

Hii inamaanisha kutoa sadaka watoto kwa sanamu kwa kuwachoma wakiwa hai.

Hivyo kwa nini nikuache unihoji mimi ... Israeli?

"Hauna haki ya kuniuliza ujumbe ... Israeli."